Mwalimu jera kwa kuhujumu uchumi
Mwalimu Josiah Mkome was shule ya sekondari kandawe wilayani Magu mkoani Mwanzi amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jera na kulipa faini ya shilingi milioni 10 baada ya kudhibitika kuwa alikuwa akipokea mishahara miwili kwa halmashauri mbili tofauti ,halmashauri ya Magu mkoani Mganza na halmashauri ya Maswa mkoani Simiyu.Mwalimu hiyo amechukua mishahara hiyo miwili tangu Feb 2012 hadi mei 2015.
Comments
Post a Comment