Tigo fiesta kufanyika tena

Tamasha la tigo fiesta lililokuwa limesitishwa mwishoni mwa October liyafanyika tena jijini dar kabla ya mwaka huu kuisha .Tamasha hiyo kubwa litafanyika leaders club hii kwa maelezo ya mkurugenzi wa clouds media bwana Joseph kusaga akizungumza kupitia kipindi cha clouds360 cha clouds TV  .Bwana Joseph kusaga amesema kuwa amezungumza na uongozi na mamlaka husika na ameweka mambo sawa hivo tamasha liko palepale na litakuwa kubwa maana maandalizi yatazidi ya mwanzo.

Comments

Popular posts from this blog

Mbinu za kuweka akiba

Sifa za biashara inayoweza kufikia mafanikio makubwa